Mnaishi milele. Hakuna mauti

Kwa nini watu wengi wana woga wa jambo linaloitwa kifo?
Inicio chevron_right Libros, Música y Películas chevron_right E-books
my_location Ubicación:
Todo el País
visibility Visto:
384 veces
person Responsable:
Editorial Gabriele
phone Teléfono:
WhatsApp 004915118838742
schedule Actualizado el:
01 dic 2024
thumb_up_alt Compartir:
 
 
photo Galería

Sehemu za kitabu. Kwa nini watu wengi wana woga wa jambo linaloitwa kifo? Kwa nini watu wana hofu mwingi, woga na kukosa ukubali wa jambo linaloambatana na maisha yetu ya kibinadamu? Dhana ya watu kuhusu kifo inayowatia hofu, wasiwasi au tena kukata tamaa ni dhana potovu na bila uhalisia, ni alama ya upuuzi na kukataa kuelewa kwao, yaani ni madhara ya uhusiano wao na maisha potovu. Sababu za woga huo ni zipi? 16 pages FREE https://gabriele-publishing.com/


comment Preguntas y Comentarios